Kocha wa Burnley Vincent Kompany (38) amefungiwa mechi mbili na kutozwa faini baada ya kushtakiwa kwa utovu wa nidhamu aliouonyesha katika mchezo wa Ligi Kuu Uingereza dhidi ya Chelsea mwezi uliopita,taarifa hiyo imetolewa na Shirikisho la Soka la Uingereza (FA).

Kompany alionyeshwa kadi nyekundu kwa kupinga uamuzi wa penalti.

Mbelgiji huyo atatumikia adhabu ya kufungiwa kwa mechi ya nyumbani dhidi ya Brighton & Hove Albion Jumamosi hii, na mechi ya pili itakuwa dhidi ya Sheffiled United



You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement