Kocha msouth Africa PITSO JOHN HAMILTON MOSEMANE amegonga vichwa vya habari mbali mbali barani Africa na huko saud Arabia baada ya kuishusha klabu ya Abha club kutoka ligi kuu kuja ligi daraja la kwanza baada ya kupokea kichapo kutoka katika klabu ya Al Hazem

Stori kubwa imekua ni kocha huyu kushusha klabu hii ya Abha wakati huo huo msimu juzi aliweza ipandisha timu ya Al ahli SC ya pale pale saud Arabia ambayo timu hiyo alivyo pandisha mabosi nao waliweza kuachana nae.

PITSO alikuja kuichukua klabu hii ya Abha January 1,2024. Kutoka katika mikono ya kocha mkolombia George Timis, malengo ya mabosi ilikua ni Kocha PITSO aweze kubakisha timu ligi kuu Lakini imekua ngumu hivyo basi kibarua cha PITSO kipo mashakani baada ya kudumu hapo kwa siku 139 hata hivyo kama kocha akifukuzwa itakua so stori kwan klabu hii ndani ya miaka miwili wamepita makocha wa 4, Czeslaw Michniewics siku 111, Youssef Manai siku 63, George Timis alie hudumu mara 2 na Pitso Mosemane.

Na sasa klabu hii itaenda kupambnaa ligi daraja la kwanza ikiwa si mara ya kwanza kushuka bali imehawi shuka mara kadhaa, kumbuka wapinzani wakubwa wa Abha ni klabu ya Damac lakini timu hii mafanikio makubwa tangu ilivyo anzishwaa mwaka 1966 wakati huo ikiitwa Al Farouk na Al Wadiea ni kufika Nusu fainali Kings cup na kumaliza nafasi ya 9 katika msimamo wa ligi ya saudi Arabia 2019-2020.

Stori nyingne baada ya Kocha PITSO kushusha timu kuna taarifa zinaeleza huenda tukaishuhudia akirejea barani Africa kama mkufunzi na klabu inayo taka kumsajili na Kaizer Chief Amakosi wanataka kumrejesha ili kuinua timu hiyo baada ya kufanya vibaya pale saudi Arabia.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement