Kocha wa zamani wa Yanga SC na kikosi cha As Far RABAT bwana NASREDEN NABI mtunisia huyu ambae sasa atakwenda katika ardhi ya South Africa katika ujira mpya wa kazi yake ya ukocha.


Katika kazi yake mpya hiyo ndani ya timu ya Kaizer Chief fahamu yakua kocha huyu atakua ni miongoni mwa walimu wanalipwa pesa nyingi kweli kweli kuliko hata Mokwena 

NABI atakua anapokea Rand 783000 sawa na euro 40000 sawa na million 112.5 za kitanzania kitu ambacho kimemuongezekea thamani kubwa ziadi kama kocha ndani ya south Africa kulingana na ubora mkubwa alio onesha akiwa Yanga SC na As Far RABAT 

Mokwena yeye analipwa Rand 600000 sawa na euro 30000 sawa na million 84 za kitanzania ambapo kwa mshaharaa huo utaona ya kua Kocha NABI anapokea hela nyingi kuliko kocha wa mabingwa Mamelodi sundown kwa utofauti wa pesa nyingi kidogo pengine watu wengi hawakuweza kufikiri hili

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement