Klabu ya Manchester United imeamua kubaki na Erik ten Hag akiwa Kocha Mkuu na tayari mazungumzo ya mkataba mpya yameanza licha ya awali wengi kuamini atafutwa kazi kutokana na kufanya vibaya katika Premier League Msimu wa 2023/24

Inadaiwa mmoja wa Wamiliki wa Klabu, Sir Jim Ratcliffe ameamua kuendelea kubaki na kocha huyo baada ya kufanya tathmini ya utendaji wake na kuona maendeleo yake ni mazuri

Ten Hag (54) bado ana miezi Nane katika mkataba wake wa sasa akiwa na mafanikio ya kutwaa Carabao Cup (2023) na FA Cup (2024)

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement