KLABU YA YANGA IMEIBUKA NA UBINGWA WA KOMBE LA SHIRIKISHO LA CRDB 2024 BAADA YA USHINDI WA PENATI 6-5 DHIDI YA AZAM FC
Young Africans Sc ni mabingwa wa kombe la Shirikisho la CRDB 2024 kufuatia ushindi wa penalti 6-5 dhidi ya Azam fc katika dimba la New Amaan Complex, Zanzibar.
FT: AZAM FC 0-0 YANGA SC (ET 0-0) (P 5-6)
MATUTA:
AZAM:
* Mtasingwa ✅
* Sidibe ✅
* Fuentes ❌
* Sillah ❌
* Kipre Jr ✅
* Manyama ✅
* Fei toto ✅
* Mwaikenda ❌
* Nado ❌
YANGA:
* Aziz Ki ❌
* Guede ❌
* Zouzoua ✅
* Yao ✅
* Mwamnyeto ✅
* Aucho ✅
* Musonda ✅
* Bacca ❌
* Mkude ✅
Yanga Sc ndio timu iliyochukua kombe la FA mara nyingi zaidi ya timu nyingine (imechukua mara nne).