KLABU YA SIMBA SC YAVUNJA MKATABA NA KOCHA MKUU ABDELHAK BENCHIKHA
Simba SC imefikia makubaliano ya pande mbili ya kuvunja mkataba na kocha mkuu, Abdelhak Benchikha pamoja na wasaidizi wake wawili, Kamal Boujnane na Farid Zemit.
Partey ameshtakiwa kwa makosa matano ya ubakaji na moja la unyanyasaji wa kingono; tuhuma hizo zinazohusisha wanawake watatu zinadaiwa kutokea kati ya mwaka 2021 na 2022 wakati akiwa mchezaji wa Arsenal. Kesi yake itasikilizwa chini ya Jaji wa Mahakama Kuu mnamo Novemba 2 mwaka ujao.
Manchester United imefanikisha mapato ya rekodi kwa mwaka wa fedha 2024/25 ya £666.5m (TZS 2.26 trilioni) lakini bado imepata hasara ya jumla ya £33m (TZS 112.2 bilioni).