Klabu ya Mwadui imeungana na Klabu za Kiluvya na African Sports kushiriki Ligi ya NBC Championship kwa amsimu ujao mara baada ya kutoka sare ya bao 2-2 katika mchezo dhidi ya Copco na kupelekea jumla ya matokeo ya bao 5-2 baada ya Mwadui FC kuibuka na ushindi wa bao 3-0 katika mchezo wa kwanza.

Mara baada ya mchezo huo ambapo Copco rasmi atashiriki Michuano ya First Division League kwa msimu ujao. 

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement