Klabu ya Ihefu ya Jijini Mbeya imemtangaza Kocha wake Mkuu Jumatatu ya leo Oktoba 16, 2023 kuchukua mikoba ya aliyekuwa Kocha wa klabu hiyo Zuberi Katwila aliyeondoka siku chache zilizopita.

Moses Basena amewahi kuifundisha klabu ya Simba SC ya Tanzania, URA ya nchini Uganda pamoja na timu ya taifa ya Uganda.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement