Kocha Adel Zrane aliwahi kuitumikia klabu ya Simba Sc kwa mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kushinda makombe matatu ya Ligi Kuu, mataji matatu ya Ngao ya Jamii, makombe mawili ya ASFC pamoja na na kombe la Simba Super Cup.


You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement