KIKOSI CHA GHANA CHAWASILI IVORY COAST
Kikosi Cha Ghana blackstar tayari kimewasili Ivory coast kwenye mashindano ya African Cup of Nation AFCON 2023
Mechi zote 52 zitakuwa mubashara kupitia Channel yako pendwa ya michezo tv3 katika muonekano Ang'avu "HD" katika lugha Adhimu ya Kiswahili.
Jumla ya makundi sita (6) yapo tayari kupigania taji la AFCON