KAULI YA AHMED ALLY NA KOCHA ROBERTIHNO BAADA YA USHINDI
Baada ya Ushindi wa Goli 3-1 dhidi ya Prisons Afisa Habari wa Klabu ya Simba na Kocha Mkuu Robertinho wamezungumza kuhusu Ushindi huo ndani ya Uwanja wa SOKOINE
Tangu kumalizika kwa michuano ya Euro ambapo kapteni huyu wa Ufaransa na timu yake waliishia nusu fainali, Mbappe hajacheza mechi yoyote ya kimashindano.