Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp apinga wazo la mashindano mapya ya Super ligue.

Klopp amesema "Kwangu mimi, Ligi ya Mabingwa (UEFA ) ni Super League, ambayo huwa hauishii kucheza dhidi ya timu zilezile. Kwa nini tutengeneze mfumo ambapo Liverpool watakutana na Real Madrid kwa miaka 10 mfululizo? Nani anataka kuona hilo?"

Hata hivyo ligi hii mpya imepingwa vikali na vilabu vikubwa vya ulaya huku Barcelona na Real Madrid ndiyo vilabu pekee vilivyounga mkono ligi hiyo.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement