Klabu mbili za Saudi Arabia Al-Ahli na Al-Ittihad zimeripotiwa kutaka kumsajili kiungo wa Real Madrid Luka Modric wakati wa dirisha dogo la usajili la mwezi Januari, kwa mujibu wa mwanahabari Rudy Galetti.

Vilabu vinatarajiwa kuzungumza na mchezaji huyo kufikia makubaliano binafsi kabla ya kuwasiliana rasmi na klabu yake

Mbali na kuhusishwa na vilabu vya Saudi Arabia, Mkroatia huyo pia ametajwa kujiunga na klabu ya MLS ya Inter Miami ambapo anaweza kucheza pamoja na Lionel Messi.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement