Sadio Mane atakiongoza kikosi cha Senegal leo hii katika safari yao ya kusaka ubingwa wa Afrika kwa mara ya pili mfululizo ambapo watakutana uso kwa uso na wenyeji wa AFCON Ivory Coast ambao wana kazi nzito yakurudisha Imani kwa raia wa Ivory Coast baada yakuanza vibaya michuano hii nakupelekea kwenda 16 Bora kama best looser.


Senegal vs Ivory Coast

Raundi ya 16

Saa 5:00 Usiku

Live on Tv3

Utashuhudia mechi hii mubashara kupitia Channel yako pendwa ya michezo tv3 katika muonekano Ang'avu "HD" kwa lugha Adhimu ya Kiswahili


You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement