Rais wa Shirikisho la Soka Duniani Gianni Infrantino amempongeza Lionel Messi kwa kuhyakua tuzo ya mchezaji bora kwa wanaume Gianni Infrantino "Hongera Lionel Messi kwa kuwa rasmi Mchezaji Bora wa FIFA wa Wanaume".

Tuzo hiyo ameipata baada ya kuchaguliwa na manahodha wote wa timu za dunia, makocha wote wa timu za taifa, wawakilishi wa vyombo vya habari kutoka duniani kote na mamilioni ya mashabiki wa soka kutoka duniani kote.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement