Hulk mpaka sasa amefunga magoli mengi kuliko wachezaji wakongwe Thierry Henry pamoja na Bebeto.

Amebakiza magoli 4 aifikie idadi ya magoli aliyofunga Ronaldo, Magoli 9 aifikie idadi ya magoli aliyofunga Samuel Eto'o na magoli 11 afikie idadi ya magoli aliyofunga Sergio Kun Aguero.

Mpaka sasa Hulk amefunga jumla ya magoli 415 katika maisha yake ya soka.



You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement