Mshambuliaji wa Biashara United Fc Herbert Charles Lukindo amekua na ubora mkubwa sana ndani ya klabu yake ambayo inashiriki katika klabu yake inayoshiriki ligi ya NBC Championship

Mpaka sasa Herbert Charles Lukindo amefunga jumla ya magoli 8 katika klabu yake ambayo ipo katika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi ya NBC Championship

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement