Timu ya Dallas Mavericks imekubali kichapo na kuifanya timu ya Boston Celtics kushinda na kuchukua taji hili mwaka 2024 baada ya miaka 16 na kurejesha UTAWALA wake

UTAWALA walio kuanao Boston Celtics ulianza mwaka 1959 kuchukua ubingwa wao wa kwanza kabisa ambapo walitawala kwa miaka 8 mtawalia YAANI walibeba taji kuanzaia 1959-1966 ikiwa ndo timu ya kwanza kufanya hivyo.



Boston Celtics wamerejesha taji hili tangu zimepita siku 5832 sawa na miaka 16 iliyo pita kwa maana ya mwaka 2008 wakati huo walimfunga los angels Lakers ya kobe Bryant lakini wakati huo Boston Celtics chini ya kocha Doc rivers na Wachezaji kama Kelvin Garnet, piecer, Ray Allen, na wengine WENGI 

Mara ya mwisho Boston Celtics alibeba ubingwa 17-6-2008 na amechukua ubingwa tena wa 18 ikiwa ni siku ya 17-6-2024 ikiwa mwezi na tarehe vinafanana kabisa.

Ubingwa huu wa 18 unaifanya TIMU ya Boston Celtics kuwa TIMU ya kwanza kuchukua kombe hili mara nyingi Zaidi kuliko timu yoyote ile katika historia ya NBA na kuipiku TIMU ya Los Angels Lakers.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement