Harry Kane Athibitisha kuwa na Furaha zaidi Bayern Munich
Harry Kane 🗣
"Kulikua na mazungumzo kwa klabu juu ya uhamisho wangu kwenda kujiunga na klabu ya Manchester United lakini kwa upande wangu nilivutiwa sana na klabu ya Bayern Munich".
"Walipoanza mazungumzo ya kuhitaji huduma yangu sikua na machaguo mengi zaidi ya kukubali".
"Naiheshimu Manchester United kwa sababu ni klabu kubwa lakini najivunia na nina furaha kuendelea kuhudumu hapa Bayern Munich".