Kocha mkuu wa Yanga Miguel Gamondi Ametamba kuwa atehakikisha anatetea ubingwa wa Yanga wa NBC Premier League msimu ujao.
Gamondi amejiunga Yanga akichukua mikopa ya kocha kipenzi wa Yanga Nabi
Tangu kumalizika kwa michuano ya Euro ambapo kapteni huyu wa Ufaransa na timu yake waliishia nusu fainali, Mbappe hajacheza mechi yoyote ya kimashindano.
Fermin Lopez wa Barcelona alisawazisha katikati ya kipindi cha pili mjini Marseille baada ya kuuwahi mpira uliolegea kwenye eneo la hatari.
Subscribe to our newsletter to get latest news, popular news and exclusive updates.