Galeno amehusika zaidi katika upatikanaji wa magoli mengi zaidi msimu huu katika ligi ya mabingwa barani Ulaya 'UEFA' kuliko mchezaji yeyote.

Mpaka sasa Galeno amehusika katika upatikanaji wa magoli nane katika jumla ya mechi 6 alizocheza.

▪️Mechi - 6

▪️Magoli - 5

▪️Assist - 3

Galeno alifunga goli la ushindi kwa klabu ya FC Porto kwenye mchezo dhidi ya Arsenal dakika ya 90+4'




You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement