Klabu ya Simba imeshindwa kufanikiwa kuonyesha Ubabe mbele ya Namungo kwa kukubali droo mchezo huo.

bao la kwanza limefungwa dakika ya 21 na mchezaji wa Namungo Lusajo Mwaikenda na kupelekea mchezo huo kuisha 1-0 kipindi cha kwanza huku simba wakirudi kipindi cha pili dakika ya 75 Jean Baleke na mchezo huo kuisha 1-1 na klabu zote kujinyakulia Pointi moja moja mchezo huo umechezwa katika uwanja wa Uhuru Dar es salaam.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement