Timu ya Taifa ya Tanzania kwa upande wa Wanawake U20 imefanikiwa kusonga mbele katika hatua inayofuata na itacheza dhidi ya Nigeria.
Full Time Djibouti 0-7 Tanzania
Jamila Rajabu⚽⚽
Winfrida Gerald ⚽️⚽
Diana Mnally ⚽
Zainab Ally ⚽
Yasinta Joseph ⚽
(Agg 0-12)
Trump anapendekeza Kombe la Dunia la FIFA linaweza kuhamishwa kutoka miji isiyo salama
Kocha wa Liverpool, Arne Slot, amethibitisha kwamba wamiliki wa klabu, Fenway Sports Group (FSG), wamelipa familia ya Diogo Jota kiasi kamili cha mkataba wake baada ya kifo cha mchezaji huyo mwanzoni mwa Julai.
Subscribe to our newsletter to get latest news, popular news and exclusive updates.