Mchezo wa Marudiano wa mzunguko wa pili wa Wekundu wa Msimbazi SIMBA dhidi ya AL AHLY umemalizika kwa 

Mchezo huu uliokua na kasi nyingi sana na kiwango cha juu umechezwa uwanja wa Cairo International katika Jiji la Caira nchini Misri

Licha ya Kipindi cha kwanza kwenda kwa kasi kubwa na mpira wa nguvu sana, timu zote hazikufua Dafu kwa kufikisha dakika ya 45 wakiwa 0-0 ambapo mpaka wakati huo walikuwa wame Balance Mizani kwa Idadi sawa ya magoli

Simba walikua wa kwanza kuongoza kwa kupata goli kupitia Kanoute ambae aliingia wavuni kipindi cha pili dakika ya 68 lakini Waarab Al Ahly walibadilisha matokeo na kuwa 1-1 dakika ya 76 kupitia Kahraba

 Full Time Imeisha 1-1 na Hivyo kuifanya jumla ya magoli kuwa 3-3 na SIMBA Anayaaga mashindano kwa kufungwa magoli mengi ya nyumbani kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa BENJAMIN MKAPA 

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement