FT IHEFU 2-1 YANGA : MASHABIKI WA YANGA WALIA NA KOCHA
Hizi ndio Kauli za mashabiki wa klabu ya Yanga baada ya kupata matokeo mabaya mbele ya Ihefu leo
Mashabiki wa Yanga wamemlalamikia Kocha kwa kikosi alichokipanga na kuomba hata kama wachezaji walichoka asingewabadilisha kwa namna ile
Wapo mashabiki wengine waliodai kuwa kuloga kumehusika na Yanga walikosea tangu mwanzo kufanya mapokezi mabaya wakati wenyeji wanalijua vizuri eneo la Mbarali