Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia akiongoza ugeni kutoka FIFA na CAF waliotembelea Kituo cha Ufundi cha TFF cha Kigamboni, Dar es Salaam
Tangu kumalizika kwa michuano ya Euro ambapo kapteni huyu wa Ufaransa na timu yake waliishia nusu fainali, Mbappe hajacheza mechi yoyote ya kimashindano.