Hii ni Video ambayo inaonesha Maandalizi ya Sherehe za Ufunguzi wa African Football League ambayo kwa Mara ya kwanza yanazinduliwa na Ufunguzi huo unafanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Tanzania

Mechi ya Kwanza ya Ufunguzi itawakutanisha SIMBA ambao ni wenyeji wakimenyana na AL AHLY Kutoka nchini Misri

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement