Inaweza kukushangaza lakini huo ndio uhalisia, licha ya kuongoza kwa kufunga magoli 17 katika Premier League 2023/24 hadi sasa, takwimu zinaonesha Mshambuliaji wa Manchester City, Erling Haaland ameotea (offside) mara moja tu katika dakika 1,745 alizocheza, anayeongoza kwa kuotea ni Darwin Nunez wa Liverpool, aliyeotea mara 20

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement