"Kila mchezo ni mgumu kama iliyopita na sisi wachezaji jukumu letu ni kuhakikisha tunapambana kwa ajili ya timu, hii ni nafasi nyingine ya kuonyesha ukubwa tuliokuwa nao kwa sababu uwezo na uzoefu tunao wa kukabiliana na yeyote," alisema Nyota wa Singida Big Stars. 

Duke aliyesajiliwa akitokea Police FC ya Kenya aliongeza ushindi wa nmabao 3-2 dhidi ya Namungo katika mchezo uliopita, umewaongezea morali kubwa huku akianisha licha tu ya kuiheshimu Yanga kutokana na ubora wao ila hawatoingia kinyonge.

Tunaiheshimu Yanga ila hatotakuja kinyonge kwani tunahitaji kupata pointi tatu pia," alisema. Singida tangu imepanda haijawahi kuifunga Yanga.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement