DROO YA MAKUNDI YA AFCON
Ilikuwa ndoto ya kila Mtanzania mpenda michezo na sasa ndoto hiyo imetimia na tumefuzu AFCON.
Sasa ni ule muda wakujua Taifa Stars atakwenda kupambana na mataifa gani hatua ya makundi !
Utashuhudia tukio hili la kihistoria mubashara kabisa kupitia Youtube Channel yetu #Tv3Tanzania leo hii kuanzia saa 4:00 usiku.