Kwa mara ya kwanza katika historia ya Soka la Tanzania watani wa jadi SIMBA na YANGA kwa pamoja kufuzu hatua ya makundi klabu Bingwa barani Afrika

JE, UNGETAMANI KUIONA DERBY YA KARIAKOO NDANI YA KLABU BINGWA?

Yote yatafahamika Siku ya leo ambapo makundi ya klabu Bingwa yatakuwa yanapangwa.

Utashuhudia tukio hili LIVE kupitia YOUTUBE CHANNEL YETU #Tv3Tanzania kuanzia saa 9:00 alasiri

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement