DROO ya hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika inatarajiwa kuchezeshwa leo kuanzia saa 10:00 jioni kwa muda wa Afrika Mashariki, huko Cairo, Misri.

Kwa kushika nafasi ya pili kwenye kundi B, Simba inaweza kupangwa na mojawapo kati ya Mamelodi Sundowns, Al Ahly au Petro Luanda.

Yanga iliyomaliza ikiwa nafasi ya pili kwenye kundi D inaweza kukutana na ama Petro Luanda, Mamelodi Sundowns au Asec Mimosas.

Utashuhudia tukio hili mubashara kupitia Channel yako pendwa ya michezo tv3 katika Muonekano Ang'avu "HD" kwa lugha Adhimu ya kiswahili.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement