Wizara ya Utamaduni. Sanaa na Michezo ikiwekewa uwezo wa kifedha itakuwa na matokeo chanya yatakayobadilisha sura ya Michezo nchini.

Leo nimechangia huku nikijielekeza katika kuiomba Serikali yangu sikivu kikubali cha kuweka asilimia 5 inayotokana na michezo ya kubashiri ili kuipa nguvu ya kujitegemea sekta ya michezo.

Mimi naamini kuwa, michezo ikiwezeshwa itaifanya Tanzania kuwa ya Ubingwa.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement