Simone Inzaghi na Diego Simeone walicheza michezo 61 pamoja wakati wanahudumu katika klabu ya Lazio, na walifanikiwa kushinda jumla ya mataji manne wakiwa pamoja na taji la mwisho la Serie A walinyakua msimu wa 1999/00.

Usiku wa leo, wanakutana ana kwa ana kwa mara ya kwanza kwenye mchezo kati ya Inter Milan dhidi ya Atletico Madrid

Simeone Inzaghi akiifundisha Inter Milan na Diego Simeone akiunoa Atletico Madrid.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement