Mchezaji wa klabu ya Liverpool Darwin Nunez amekua mchezaji wa kwanza msimu huu katika ligi kuu ya England "EPL" kufikisha magoli 10+ pamoja na Assist 10+ kwenye mashindano yote

Mpaka sasa Darwin Nunez amefunga jumla ya magoli 10 na kutoa Assist 10 kwente mashindano yote ambayo amecheza msimu huu mpaka sasa

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement