Cristiano Ronaldo na John Cena Kuzindua Mieleka Saudi Arabia
Kampuni inayojihusisha na michezo ya mieleka duniani maarufu kama "WWE" ina mpango wa kuandaa pambano kati ya nyota wa klabu ya Al Nassr Cristiano Ronaldo dhidi ya nguli wa mchezo huo wa mieleka John Cena kama sehemu ya uzinduzi wa mashindano ya mieleka yanayojulikana kama "Crown Jewel" ambayo yanatarajiwa kufanyika nchini Saudi Arabia Novemba 4 mwaka huu.