CR Belouizdad atasafiri moja kwa moja hadi Tanzania leo kwa ndege binafsi kuvaana na Yanga SC Jumamosi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Walikubaliana kuwasili mapema ili waweze kuzoea hali ya hewa wakijua kuwa joto litakuwa kati ya nyuzi joto 27 - 33 Celsius na unyevunyevu karibu 80% - 90%.

Pia; Boubou Traore kutoka Mali ameteuliwa kuchezesha mchezo huo akiwa na msaidizi wa kwanza Burkinabe lakini wasimamizi wa mechi waliosalia wote ni Mali.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement