Ofisa habari na Mawasiliano TFF, cliford mario ndimbo ameteuliwa na CAF kuwa Ofisa Habari wa mchezo wa ufunguzi wa African Football League (AFC) Simba vs Al Ahly utakaochezwa Oktoba 20, 2023.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement