CHRIS WOOD AINGIA KWENYE HISTORIA YA WAFUNGAJI HAT TRICK
Jumla ya wachezaji 7 wamerekodiwa kufunga magoli matatu kwenye mchezo mmoja "Hat Trick " kwenye historia ya soka ya ligi kuu ya England "EPL" ambayo michezo yake imechezwa siku ya Boxing Day.
Thierry tenry (2000)
Kevin Phillips (2000)
Robbie Fowler (2001)
Dimitar Berbatou (2011)
Gareth Bale (2012)
Harry Kane (2017)
B Chris Wood (2023)