Chelsea ni timu ya kwanza katika historia ya soka ya Uingereza kupoteza fainali sita mfululizo katika makombe ya ndani.
❌ Kombe la EFL 2019
❌ Kombe la FA 2020
❌ Kombe la FA 2021
❌ Kombe la EFL 2022
❌ Kombe la FA 2022
❌ Kombe la EFL 2024
Tangu kumalizika kwa michuano ya Euro ambapo kapteni huyu wa Ufaransa na timu yake waliishia nusu fainali, Mbappe hajacheza mechi yoyote ya kimashindano.
Fermin Lopez wa Barcelona alisawazisha katikati ya kipindi cha pili mjini Marseille baada ya kuuwahi mpira uliolegea kwenye eneo la hatari.
Subscribe to our newsletter to get latest news, popular news and exclusive updates.