Kocha Mkuu Simba, Abdelhak Benchikha amesema hawana presha kwenye mechi yao ya mwisho ya hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy.

Benchikha ameongeza kuwa watacheza kama fainali dhidi ya Jwaneng Kwa Mkapa ili waweze kufuzu hatua ya robo fainali CAFCL. Mechi inatarajiwa kupigwa Machi 02, 2024 saa 1:00 usiku.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement