Klabu ya Al Ahly, imeanza safari kwa ndege binafsi kutoka Misri kuja nchini kucheza mchezo wa robo fainali ya Ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya Simba SC.

Klabu hiyo inatarajiwa kuwasili leo mchana na kuanza maandalizi ya moja kwa moja kwa ajili ya mchezo wa kesho kutwa.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement