Mlinda mlango mkongwe wa Italia Gianluigi Buffon (45) anatamani kuona ukubwa wa wa goli ukiongezeka kwani mazingira na mpira umebadilika kwa kiasi kikubwa 

"Tunaweza kuanza kufikiria juu urefu wa miamba (post) ambayo iliamuliwa mnamo 1875 Pengine ilikuwa mikubwa sana kwa wakati huo Lakini sasa, ukiona maumbo ya magolikipa unaweza kufikiria juu ya swala hilo la kuogeza kipimo.

"Mbinu za wachezaji zinazidi kuwa bora Lakini unaweza kuona athari za urefu wa kipa kwenye mashuti ya mbali. Miaka 30 iliyopita, kulikuwa na mabao 10 kwa kila mashuti 50 Lakini Leokupata mabao 3 kwa mashuti 50 ni nadra”

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement