Klabu ya SIMBA imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo 

Simba Pia imefikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa kocha wa viungo Corneille Hategekimana

Uongozi wa Klabu ya SIMBA unawashukuru Makocha hawa kwa Mchango wao ndani ya klabu na inawatakia kila la heri katika majukumu yao mapya.

Kwa sasa SIMBA itakua chini ya Kocha Daniel Cadena akisaidiwa na Seleman Matola.

Tayari mchakato wa kutafuta makocha wapya umeanza na unatarajiwa kukamilika hivi punde.


You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement