Baada ya tetesi kuwa nyingi kuhusu kiungo wa klabu ya Simba Sc,Jonas Mkude kuondoka kwenye timu hiyo na kujiunga na wananchi hatimae klabu ya Yanga Sc wamemaliza utata wa stori hizo kwa kumtangaza rasmi leo hii Jonas Mkude kama mchezaji wao. Jonas mkude ameitumikia klabu ya Simba zaidi ya miaka 10 kabla ya mkataba wake kufika tamati.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement