Timu ya Boston Celtics imeendeleza ubabe mbele ya Dallas Mavericks kwa Mchezo wa 3 baada yakuibamiza kwa points 106-99 pale pale kwao kwenye ARENA ya AAC. 

Kufuatia mchezo huo sasa Boston Celtics wamejiwekea njia nzurii kubeba taji lao la 17 tangu walivyo anzishwaa mwaka 1946 kwa upande wa ukanda wa mashariki,kumbuka kama watawafunga game ya 4 basi Boston Celtics ATAKUA BINGWA mpya wa NBA na kuendelea kua mbabe Zaidi. 

Katika mchezo huo vijana wawili wa Boston Celtics YAANI Brown na Tatum wamechangia points 61 kwa maan ya Brown point 30 na Tatum point 31 na kuwateketeza kabisa LAKINi kwa upande wa Dallas Mavericks mkongwe Kyle Irving amefunga points 35 lakini bado mambo yamezidi kua MAGUMU haswa kwa kiufundi na kimbuni Boston Celtics ni wazurii kwenye kujilinda na kushambulia kwa pamoja, LAKINi pia kwenye Mchezo huo Boston Celtics ilimkosa porsings maarufu kama KP Lakini bado walikua na kiwango bora MTU kama Homford, White walifanya kazi nzurii sanaaa. 

Michezo imesalia mi4 tu ambapo inawalazimu timu ya Dallas Mavericks kushinda yote ili awe bingwa kitu ambacho kinaonekana kigumu kwa upande wao lakini pia kwa Boston Celtics wanahitaji ushindi wa game 1 tu kati ya 4 zilizo salia. 

Muhimu kizingatia ni kua endapo Boston Celtics akishinda mchezo ujao basi atakua ameshinda game zote 4 na kumpiga mtu fagio kwa mara nyingine na kuweka REKODI kwani mchezo wa fainali ukanda wa mashariki Boston Celtics alimfunga Indiana Pacers game zote 4. 

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement