Bodi ya Ligi Visiwani Zanzibar imetoa pongezi na shukrani kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi kwa kuhakikisha Zanzibar inajitangaza zaidi nje ya Mipaka kupitia michezo kwa kuwa miundombinu bora ikiwemo Viwanja.


Tumezungumza na Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Visiwani humo Hashim Salum ambaye ameeleza kuwa Uwanja wa New Amaan Complex ambao umekuwa ukitumika katika mashindano mbalimbali hususani yale mashindano makubwa Afrika umekuwa ni fursa kwa wachezaji sambamba na viongozi wa Timu za Zanzibar kuifunza kwa walioendelea katika Soka

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement