Bodi ya Ligi, imefanya mabadiliko madogo ya muda katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Azam FC na Yanga SC, utakaofanyika Jumapili ya Machi 17, 2024, Uwanja wa Mkapa.

Mchezo huo badala ya kuchezwa saa 1:00 usiku sasa utachezwa saa 2.30 usiku.

Sababu ya mabadiliko ni kuwapa nafasi waumini wa dini ya kiislamu kukamilisha swala ya Isha.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement