Biashara United Fc ndiyo timu ambayo iliyokusanya alama nyingi zaidi katika uwanja wake wa nyumbani mpaka sasa katika mechi za NBC Championship League.


1. Biashara United

Mechi - 10

Alama - 25


2. Pamba Jiji Fc

Mechi - 10

Alama - 23


3. Mbuni Fc

Mechi - 10

Alama - 23


4. Mbeya City

Mechi - 10

Alama - 23


5. KenGold Fc

Mechi - 10

Alama - 22


Mechi za NBC Championship League zinaendelea tena wiki hii na utazishuhudia mechi zote mubashara kupitia Channel yako pendwa ya michezo tv3

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement