Beki wa zamani wa Simba na Yanga Ramadhani Waso amefariki Dunia March 25 2024 nchini kwao Burundi.

Taarifa ya kifo chake haijaeleza zaidi kuhusu chanzo cha kifo cha Mkali huyo wa soka lakini amefia kwao Burundi.

Waso alijiunga na Simba SC mwaka 2000 na alikuwa sehemu ya Kikosi cha Simba SC kilichoitoa Zamalek ya Misri mwaka 2003 katika michuano ya CAF. 

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement